mzimuni

Mzimuni (Kata ya Mzimuni, in Swahili) is an administrative ward in Kinondoni District of the Dar es Salaam Region in Tanzania. The ward's northern boundaries are formed by the wards of Ndugumbi and Magomeni. Upanga West and Jangwani wards of Ilala MC surround the ward on the east, and Kigogo ward borders it on the south. The Makurumla and Mburahati wards of Ubungo MC are to the west. The ward is home to the Mwalimu Nyerere Memorial House. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 26,905 people in the ward, from 21,486 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

    Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Kinondoni: Mbunge Abbas Tarimba amwaga mitaji kwa Mama Wajasiriamali 54 Kata ya Mzimuni

    Wakuu Mbunge wa Kinondoni Mhe Tarimba Abbas amekutana na akina Mama wapatao 54 wa Kata ya Mzimuni na kuwapatia mitaji kuendeleza shughuli zao za ujasiriamali. Pia, Soma Kinondoni patachimbika! Wanaotaka Ubunge kibao, yumo Iddi Azzan, Tarimba na mjukuu wa Bakhresa
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Abbas Tarimba ashiriki hafla ya kugawa futari kwa Wananchi wa Kata ya Mzimuni waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba ameshiriki hafla ya kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya futari kwa Wananchi waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima iliyoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. Manfred Lyoto. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  4. JanguKamaJangu

    Hatimaye wazoaji taka wametimiza wajibu wao kwa kuzoa taka Mtaa wa Mzimuni - Kawe

    Yaani muda mfupi baada ya kuweka andiko langu hapa, jana hiyohiyo magari mawili ya kuzoa taka yalifika mtaani kwetu na kubeba taka zote zilizokuwa zimezagaa. Kumbe inawezekana, sasa walichokuwa wanasubiri ni nini? Wanataka hadi turipoti mitandaoni ndio hatua zinachukuliwa? Hii si sawa...
Back
Top Bottom