mzee mtei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Askofu Bagonza: Mzee Mtei amezikwa mwili; fikra zake zimebaki

    MZEE MTEI AMEZIKWA MWILI; FIKRA ZAKE ZIMEBAKI Jana 24/1/2026, taifa limeuzika mwili wa Mzee Edwin Mtei (94). Ana historia inayogusa sekta nyingi hapa nchini. Watu wa namna hiyo huwa ni kama moto ambao hufa/kuzimika na kuacha majivu badala ya kuacha moto. Yeye ameacha fikra. Ebu tudadavue umbeya...
  2. Mshana Jr

    Msiba wa mzee Mtei na heshima kubwa ya CHADEMA Tanganyika

    MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA Mwl. John Pambalu Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
  3. DuaZaMama

    Mrisho Gambo aonekana kwenye msimba mwasisi wa CHADEMA mzee Mtei

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Mrisho Gambo, amewasili kwenye msiba wa marehemu Mzee Edwin Mtei, mmoja wa waasisi wa CHADEMA, huko Arusha. Hii ni mara ya kwanza kwa Gambo kuonekana hadharani baada ya kutoonekana kwa kipindi kirefu Gambo...
  4. Idugunde

    CHADEMA aliyoianzisha mzee Mtei ilikuwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya CCM sio kama hii ya sasa chini ya Lissu na Heche.

    Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini. Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa wapinzani wakati sio wapinzani. Sasa hovi chini ya Lissu na Heche ndio kimekuwa chama cha upinzani...
  5. Mafyangula

    Salum Mwalim kuongoza ujumbe wa CHAUMMA kwenye msiba wa Mzee Mtei Januari 24, 2026

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ndugu Salum Mwalim ataongoza ujumbe wa viongozi na wanachama wa Chama hicho kwenda katika maziko ya Hayati Edwin Mtei yatakayofanyika Tengeru,Mkoani Arusha siku ya Jumamosi tarehe 24 Januari,2026. Soma Pia: Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Mbowe: Tulipata hazina kubwa sana kufanya kazi na Mzee Mtei na alikuwa muaminifu sana na akili kubwa

    Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa karibu wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amesema kuwa Mzee Mtei alikuwa Muasisi wa sarafu ya kwanza ya Tanzania. Soma Pia: Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia
  7. J

    Mzee Mtei ataufurahia sana Uongozi wa Tundu Lisu kuliko Ule wa Mbowe, enzi zake Edwin alikuwa Mtu wa misimamo mbele ya Nyerere!

    Freeman Mbowe ni Kiongozi mzuri ila kama walivyo Wafanyabiashara wengine wote anaangalia kwanza Faida katika jambo lolote Lile na CCM iliutumia vizuri sana huu udhaifu wake. Tundu Lisu ni tofauti yeye ni mwanaharakati na Tanzania Kwa sababu ilishajipatia Uhuru wake Kutoka Kwa Mkoloni...
  8. J

    Ratiba ya Uchaguzi CHADEMA itatolewa lini? Hatutegemei Mzee Mtei apendekeze jina la Mwenyekiti

    CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi. Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari. Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana. Wednesday, ubarikiwe sana!
Back
Top Bottom