mzaramo mkristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sijawahi kuona Mmasai wala Mjaluo Muislamu na Sijawahi kuona Mpemba wala Mzaramo Mkristo, huyu Mungu na Allah mbona anabagua Makabila na jamii?

    Habari wadau. ni mimi peke.yangu ama na wengine. Sijawai kuona maishani Shehe Chacha ama Ukhty Boke , je wewe umewai muona muislam Mkurya ? Binafsi najiuliza kwa nini Mungu anaezimiliki hizi dini mbona anabagua waumini wake.. Wengine hawaielewi dini yake, je wataenda motoni?
  2. Bueno

    Sikuwahi kujua kama kuna Wazaramo ambao ni Wakristu

    Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kuu. Mimi hapa nimezaliwa mjini Daslamu miaka mingi nyuma kabla ya mwaka 2000, kwa mazingira niliyokulia na watu wengi tulioishi nao ni Wazarumo. Lakini cha kushangaza sikuwahi kuona Mzaramo Mkirstu wengi tulioishi nao mpaka leo ni Waislamu, hii...
Back
Top Bottom