mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  2. K

    Mwigulu unampigia nani kelele bungeni?

    Mwigulu amekuwa alitoa hoja kwa hisia kali sana na kupiga kelele kama vile anaongea na wezi. Wabunge karibu wote ni fake wa chama chako sasa lawama za nini na kwa nani hasa. Makelele makalele ni kwa nani? Hivi hakuna watu wengine wangeweza kufanya vizuri kuliko jamaa huyu ambaye ameshaanza...
  3. Mwigulu Amelihakikishia IMF kuhusu Maboresho ya Sekta Mbalimbali

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba, Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika Bajeti ya...
  4. R

    Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

    Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa? Baada ya Mwigulu...
  5. N

    Dkt. Mwigulu Nchemba na Ally Happy wanavyoliweka mkakatini Jimbo la Iramba 2030

    Jamaa wanatengeneza makubaliano kuwa mwaka 2030 wakati Dr. Lameck Madelu Mwingulu Nchemba anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bwana Ally Happi anakuwa Mbunge wa Iramba na anateuliwa kuwa Waziri.
  6. Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya. Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao...
  7. L

    Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa. Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana...
  8. R

    Mwigulu ni timu Mama au ni timu 2030?

    Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao aliowasikia ni kina nani? Ikumbukwe nyuma ya harakati za uchaguzi wapo watu wameanza kuona wanaweza...
  9. Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

    Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi. Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
  10. S

    Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

    Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme...
  11. L

    PreGE2025 Tetesi: Ali Hapi kwenda kumng'oa Mwigulu jimboni Iramba 2025

    Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho aliyoifanya na kupiga picha na bibi huyo inasemekana imezalisha jicho la kuonwa na mama na kupewa...
  12. P

    Waziri Mwigulu: Wanaosema Rais Samia amekopa sana kuliko Awamu zote za nyuma waeleze pia mikopo hiyo inatokana na madeni ya nyuma

    Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
  13. PreGE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

    Huyu hapa
  14. Dr. Mwigulu Nchemba (MP), has thanked Denmark for contributing to the development of Tanzania in various economic and social fields

    The Minister of Finance, Honorable Dr. Mwigulu Lameck Nchemba (MP), has thanked Denmark for contributing to the development of Tanzania in various economic and social fields, as well as the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) project from Morogoro to Makutupora in Singida region...
  15. Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    #Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali. Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati...
  16. Mwigulu Nchemba: Tanzania ni mfano mzuri wa kuigwa duniani kwa huduma bora za barabara, maji na umeme

    Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. ---- Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta...
  17. Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Mwigulu na Kitila "Chukueni maoni ya Wafanyabiashara"

    Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), kuchukua maoni ya Wafanyabiashara na wawekezaji ili kuboresha sera na sheria za...
  18. Dkt. Mwigulu asema Tanzania inakopa kwa sababu inaweza kulipa

    Serikali imesema nchi inaendelea kukopa fedha kwa ajili ya utekelezaji miradi ya kimkakati kwa sababu ina uwezo wa kulipa. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Februari 23, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, akisema kadri nchi inavyokuwa tajiri ndivyo viwango vyake vya madeni huwa vikubwa...
  19. Dkt. Mwigulu ataka barabara za uhakika kijijini

    Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema umefika wakati wa kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuangalia namna ya kutengeneza barabara za zitakazodumu muda mrefu maeneo ya vijijini. Mwigulu amesema hayo alipojibu hoja ya dharura ya mbunge wa Rorya, Jafar Chege aliyeomba mwongozo...
  20. L

    Dkt. Mwigulu Nchemba yupo kimya kwa sasa anameza matonge makubwa makubwa!

    Mjanja sana huyu jamaa! Baada ya kuingia msituni na kudodosa kidogo nikagundua nyeti mabasi yake ya Esther kwa mwezi yanaingiza faida TU inayokadiriwa kuwa zaidi ya shilingi milioni 80 - FAIDA tu baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Mwaka 2024 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…