mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi inawashikilia watuhumiwa wa mauaji ya mwenyekiti wa UVCCM tawi la Machinjioni kata ya Bwawani Makongolosi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) tawi la Machinjioni kata ya Bwawani Makongolosi wilayani Chunya Michael Andarson Kalinga (36) mkazi wa wilayani humo. Inaelezwa kuwa watu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya alivyouawa mwenyekiti wa UVCCM huko Chunya yana ukakaksi sana, Polisi fanyeni kazi yenu kwa umakini

    Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali. Inaripotiwa kuwa huyu UVCCM, mwenye biashara ya kuchoma chama klabu moja, alipigiwa simu kuwa kuna mbuzi wanauzwa aende...
  3. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA vijana Kanda ya Nyassa, Victor Baleke, awekwa ndani Kituo cha Polisi Rujewa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Vijana Kanda ya Nyassa, Victor Baleke, amekamatwa na kuwekwa ndani katika Kituo cha Polisi Rujewa asubuhi hii. Baleke alihojiwa jana katika Kituo cha Polisi Chimala na alipewa dhamana. Taratibu za kufuatilia dhamana nyingine zinaendelea. Aidha, kuna taarifa zinazoonyesha...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya William achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir. Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa Mtaa wa Malindi Estate, Mbweni, Celina Mkonye (CPA)aahidi kusimamia mikopo kwa wanawake, vijana na wenye ulemavu

    Bwashee, mtaa wako una Mwenyekiti mwenye Kiti na CPA? :D Basi kutana na Celina Mkonye wa kule Mbweni. Mara baada ya kula kiapo cha utii na uadilifu, Mwenyekiti aliyechaguliwa wa Mtaa wa Malindi Estate, CPA Celina Mkonye amewaahidi wananchi katika mtaa huo kusimamia mikopo kwa wanawake, vijana...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Songwe: Mwenyekiti CCM achomwa kisu cha utosi, Polisi yawakamata Viongozi wawili CHADEMA

    MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Ikana, Wilayani Momba, Amos Sikamanga (41) amelazwa katika kituo cha afya Tunduma akidaiwa kujeruhwa vibaya kwa kuchomwa kisu cha utosi na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Tukio hilo limetokea Novemba 27, 2024 majira ya...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Mwenyekiti wa CHADEMA, Rose Mayemba alivyoliamsha baada ya kubaini madudu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama ilivyodhaniwa badala yake ilikuwa ni oparesheni kuwashughulikia wapinzani nchini Rose ameeleza hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa zamani wa benki ya China ahukumiwa kifo

    Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya China, Liu Liange amehukumiwa kifo kwa kupokea hongo ya dola milioni 16.8 (TZS bilioni 44.4) pamoja na makosa mengine ya ufisadi na utoaji wa mikopo kinyume cha sheria. Mahakama ya China imeamuru mali zote binafsi za Liu zitaifishwe na mapato yake yote...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu ahamasisha wananchi kupiga kura

    MWENYEKITI WA CCM SIMIYU AHAMASISHA WANANCHI KUPIGA KURA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, ameendelea kuhamasisha wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi leo kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mara baada ya kupiga kura katika kituo cha...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara. DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wetu Hersi jishushe nenda kamwombe msamaha Haji Manara aturudishie Mganga wake

    Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni... Turudie katika asili yetu. turudi kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. Tatizo...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti Umoja wa Vijana (CCM) Geita, Manjale: Uchaguzi huu tunakwenda kuzika Upinzani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani. Kauli hiyo ameitoa wakati akiwanadi Viongozi wagombea ngazi ya...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo Tunduru: Kuna vijana wamepangwa kupiga kura za mapema, tunawaonya...

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza Jumapili, Novemba 24, 2024, kwenye mkutano wa kampeni...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa TLP Taifa, Ivan Maganza awanadi wagombea wa CCM

    Mwenyekiti wa chama cha TLP Taifa, Ivan Jackson Maganza ameamua kuambatana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makala katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM Tanga, Ramadhan Omar awataka wananchi kuchagua viongozi wa CCM katika nafasi zote "Ndio Chama chenye dira"

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Habibu Mbota ambaye pia ni balozi wa maji mkoa wa Tanga akiwa katika harakati za kampeni alisisitiza kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi wa CCM watakaowasaidia kuleta maendeleo. Naye, Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Simiyu, Shemsa Mohamed asisitiza wajibu wa kila Mwanachama kwenye ushindi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jussa: Chama cha upinzani chenye muelekeo ni ACT- WAZALENDO

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…