Hoja za Freeman Mbowe na Wenje nilizozisikia mpaka sasa 👇👇👇
1. Lissu hakuwa na dola 10,000 tukamsaidia ili apelekwe hospital Nairobi aliposhambuliwa.
2. Kuna pesa zetu tunamdai tulimsaidia kwenye matibabu.
3. Nilimlipia tiketi za ndege kipindi anafanya harakati za kusaidia watu migodini.
4...
Heshima sana wanajamvi.
Baada ya tathimini ya hali ya juu kutoka kanda 8 Mhemiwa Mbowe anaongoza 81.5% huku mshindani wake mkuu Mheshimiwa Lissu akiambulia 17.3%
Wajumbe wengi wameonyesha msimamo wa kumuunga Mwenyekiti mkono kwa wivu mkubwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni.
Baada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe.
Mwenyekiti amepagawa hana tena utulivu. Waandamizi wa Team yake jamii iliyokuwa inawapa nguvu imewakacha, wameamua kaa kimya...
Liwalo na liwe this is too Much!Nikiri mimi ni Shabiki wa Lissu lakini anapoelekea hapana,kama anahama CHADEMA ahame tu namtakia Safari njema asituharibie Taasisi,sisi tutabaki Mashabiki wa CHADEMA hadi mwisho.
Hakuna asiyefahamu Mchango wa Mbowe kwenye Siasa za Upinzani Tanzania kama yupo...
Nimesikia mengi toka huku mitaani. Wanakusifu sana jinsi ulivyoongoza CHADEMA kwa muda wa miaka 20 lakini wanakuomba kwa uchaguzi ujao KUBALI YAISHE.
Unaombwa kumuachia mwingine naye asimamie na kuongoza Chama. Uchaguzi ujao iwe jua au mvua Lissu anaenda kukushinda.
Naomba using'ang'anie...
Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa...
Hizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana
Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lissu
Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila kutarajiwa
Ahsanteni Sana 😂
Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?
Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Copy & Paste from Twitter.
MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO
SIFA ZA MBOWE
1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii.
2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu
3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala.
4...
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu...
Simple mathematics.
Mbona Seif Sharif Hamad hakuwa mwenyekiti baki katibu mkuuna alishine.
Wafuate mfano wa Putin na Medinefev wanaswutch tu vyeo vyao bila conflict
Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
Jeshi la polisi wilayani Kilolo, mkoani Iringa linamshikilia mwenyekiti wa Kijiji cha Mtandika kwa mahojiano zaidi kuhusu tuhuma za kuchukua fedha kwa wafugaji na kusababisha migogoro kati ya kundi hilo na wakulima, huku watu wengine wanaohusika na kugawa ardhi kinyume cha utaratibu nao...
Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya...
Baada ya uchaguzi Mozambique: SADC inatoa wito wa kujizuia na mazungumzo ya "amani".
02 Januari 2025
Picha ya faili: AIM
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jana ilihimiza kujizuia katika kukabiliana na maandamano ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji, ikitetea mazungumzo "ya amani...
Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje?
Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake.
Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika" yeye kachimbia watoto na mke ubeleji
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa...
Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani .
Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.