mwenyekiti bawacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti BAWACHA ametengwa?

    Kila mkutano wa Chadema na wageni mbali mbali namuona Mwenyekiti wa wazee bi Kiwanga, mwenyekiti wa vijana Mahinya, katibu mkuu, Heche na Golugwa. Jee mwenyekiti wa BAWACHA bi Shariffa ametengwa rasmi? Mbona haonekani katika ugeni mbali mbali unaokutana na uongozi wa CHADEMA?
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA: Akina mama tuungane kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi 'No Reforms, No Election'

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  3. Judi wa Kishua

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

    Anaandika Ngurumo kwenye X. Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!"...
Back
Top Bottom