mwendokasi kimara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Huduma ya Mwendokasi Kimara–Mlonganzila

    Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria. Tunapokwenda kuulizia kwa kiongozi wa kituo, mara nyingi tunapokea majibu yasiyoridhisha, ikiwemo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Askari wanatuambia tupite njia ya Mwendokasi Kimara, tukifika Kona wanatukamata na kutoza faini Sh 30,000

    Naweza kusema kuwa kwa ninavyoamini kutokana na mazingira, Askari wa Barabarani wanatengeneza foleni njia ya Kimara kwa Makusudi wanaanza kuwaambia watu wapite mwendokasi kipande cha Baruti then ukifika Kona wanakamata magari yote. Wakiaambiwa kuwa “tumeruhusiwa huko nyuma kupita” wanasema...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko juu ya wahudumu Cashiers wa Mwendokasi Kimara

    Kiukweli Mimi hii hali ya wakatisha tiketi wa mwendokasi kituo cha kimara kuweka salio kwenye kadi tofauti na kiasi cha fedha inanikata sana. Mara ya kwanza nilidhani ni bahati mbaya lakini mpaka sasa ninathibitisha kua ndo michezo yao, kwanza hawatoi risiti, Mara ya pili nilitoa elfu tatu...
  4. JamiiForums Tanzania Wakristo mnatuwakilisha vizuri sana kwenye mwendokasi hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linahitaji ukombozi

    Wakristo mna mbingu yenu nyie watu, Umeakua mwendelezo Taifa likielekea kukombolewa, wakristo wamekuwa ni watu wa kuimba tenzi kila wanapopanda magari ya mwendokasi na tenzi hizo zinaendana na kipindi ambacho Taifa linapitia.
  5. JamiiForums Tanzania Wateuliwe watu wenye uwezo kuongoza Bodi za UDART na DART. Tenguzi na teuzi hazisaidii kama Utaalam na uwezo vimewekwa pembeni.

    Katika nchi yoyote ile Duniani khasa kwenye miji yake mikubwa ni lazima kuwepo na mifumo imara na madhubuti ya usafiri na usafirishaji. Mifumo bora ya usafiri (transport system) inapokosa muunganiko kati ya ubunifu (plan) na miundombinu (infrastructure) hutokea kushindikana kwa ufanisi wa mifumo...
  6. JamiiForums Tanzania Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri halafu CCM inanunua mabasi ya gharama

    Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end OKTOBA 29 MAANDAMANO
  7. W

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  8. JamiiForums Tanzania RC Chalamila awaomba radhi watumiaji wa Mwendokasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba radhi watumiaji wa mabasi ya mwendokasi kutokana na upungufu wa mabasi, akiwahakikishia kuwa muda wowote tatizo hilo litatatuliwa. Soma > Chalamila: Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za serikali hususan katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Wananchi. Akiwa Kituoni hapo asubuhi ya leo...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Video: Hivi huu usafiri wa Mwendokasi ni bure au watu wanalipa nauli? Watu mnaoishi Kimara mnawezaje kuishi hivi?

    Wakuu, Hivi mnaoishi huko Kimara mnawezaje? Mna uhakika hamna mafunzo ya kijeshi kweli? Serikali kama huu mradi umeushindwa ni bora waseme tu
  11. JamiiForums Tanzania KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na Barabara ya Mwendokasi Kimara hadi Kibaha? ni kama imetelekezwa

    Kwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu. Ila janga ni ile barabara ya katikati ambayo ilikusudiwa iwe ya mwendokasi lakini mpaka sasa haitumiki ipo kama pambo. Huwa nikipita...
  13. JamiiForums Tanzania Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria. Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
  14. JamiiForums Tanzania Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KERO Rais tunaomba utoe maagizo TANROADS kuja na mkakati wa kupunguza foleni Kituo cha Kimara Korogwe

    Mheshimiwa Rais na mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa umeamua chini ya utawala wako kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa na miundombinu ya uhakika na uthibitisho na kwa jinsi jiji lote lilivyosheni vifaa vya ujenzi wa barabara. Kwa kuwa Morogoro Road ndio barabara kuu kwa nchi yetu...
  16. JamiiForums Tanzania Mchechu: Kuna wizi mkubwa kwenye Mwendokasi katika malipo ya ‘cash’

    Akizungumzia maboresho ya Huduma ya Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka “Mwendokasi”, Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, leo Julai 15, 2024, amesema kuna changamoto kubwa ya wizi katika huduma hiyo kutokana na malipo ya kutoa fedha taslim (cash). Amesema “Ukiwa na opareta wengi wa kuendesha...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Mwendokasi Kimara acheni kutiririsha maji machafu usiku

    Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi. Ukweli ni kuwa maji hayo yanayosambaa barabarani yananuka sana hasa upande wa kutokea mjini yaani upande wa...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi

    Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara. Hii ni kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanayo haki ya kusafiri kutoka makwao na kwenda mjini. Naona dalili ya Jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…