mwendokasi barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Basi la Mwendokasi lanusurika kuwaka moto Morogoro road

    Wakuu, Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote...
  2. Just Pray

    Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

    Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama. Baada ya kusubiri kituoni kwa saa...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    Mwendokasi apewe mchina

    Ndiyo naingia nyumbani kwangu mida hii. Wife amenunua, nimemkuta ametoa begi lake la nguo anapiga pasi, anataka kurudi kwao anasema " Mashamba Makubwa Nalima umepata mke wewe, niache mimi nirudi nyumbani, nina kwetu!" Ila mimi sikuwa sehemu yoyote zaidi ya pale Morocco nikisubiri bus tokea saa...
  4. I

    Waziri kaleta Balaa Barabara za Mwendokasi

    Kwema, jamani wanajukwaa huyu waziri aliyetangaza watu wenye vyombo vya moto kutumia Barabara za mwenďokasi kaleta balaa ingawa yeye alimaanisha Barabara zile ambazo hazijaanza kutümika. Kama kawaida ya Wabongo kupindua vitu kichwa chini miguu juu kumekuwa na matumizi holela ya hizi barabara...
  5. Mshana Jr

    USIIGE: Kila Mtu ana mwendo wake barabarani na sababu zake

    Ligi za barabarani kati ya madereva nyingi zimesababisha majanga mengi kwa: Madereva, Abiria, Waenda kwa miguu, Magari, Na uharibifu wa mali. Kuna Watu leo hii ni marehemu, wakiwa wameacha wajane na yatima kwa sababu ya hizi ligi. Kuna watu leo hii ni walemavu na wamegeuka tegemezi kwa...
Back
Top Bottom