mwandishi bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Yericko Nyerere atikisa Afrika, Ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards' Yericko ambaye pia ni kada wa CHAUMMA alishinda kwa kura 7584 sawa na 53% alikuwa...
  2. tonicimmobility

    Una ujumbe gani wa kumueleza mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari za utetezi wa watu wenye ulemavu katika Samia Kalamu Awards 2025?

    Kelvine Raphael, mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari za utetezi wa watu wenye ulemavu katika Samia Kalamu Awards 2025 Tuzo aliyopewa ZUNGU ya KALAMU iliambatana na hundi ya Tsh. Milioni 10. Hii ni sehemu ya zawadi. Jasusi akafurahi kweli kweli. Soma pia: Rais Samia kuwa mgeni rasmi...
  3. W

    Waziri Mavunde amzawadia mwandishi bora sekta ya madini leseni ya utafiti

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Mei 05, 2025 jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa...
  4. B

    Serikali yakubaliana na mkandarasi arudi saiti kukamilisha stendi ya Ngangamfumuni

    HONGERA MBUNGE MSOMI PRISCUS TARIMO BINGWAA Baada ya mkwamo wa miaka mingi, hatimaye sasa serikali imefikia makubaliano na kampuni ya ujenzi ya CRJE @crje_zanzibar kurejea site na kukamilisha stand yetu ya kimataifa ya Ngangamfumuni.. Hii ni furaha sana kuona stand hii ikimapiziwa na Serikali...
  5. ELI COHEN

    Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

    Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki. Tofautisha kati ya...
  6. sinza pazuri

    Naufunga mjadala: Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Lady Jaydee

    Kwenye pen game hakuna msanii wa kike wa bongofleva amewahi kufikia uwezo wa Zuchu toka bongofleva izaliwe nasema hakuna. Jide ni msanii mkali, anauwezo mkubwa kafanya hitsong nyingi namheshimu kwa ilo ila huu mjadala nimeuona uko kuwa Jide anaweza andika kumzidi Zuchu haupo sahihi. Jide ni...
  7. Erythrocyte

    Yericko Nyerere atwaa Tuzo ya Mwandishi Bora ya Vitabu Barani Afrika 2024

    Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka. Ametwaa tena Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, Tuzo ambayo akina Nyambari Nyangwine na...
Back
Top Bottom