mwanamuziki tyla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tyla wa Afrika Kusini amechukua tena tuzo ya Grammy

    Wakuu, Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, amewashinda Davido, Burna Boy, Ayra Starr na Eddy Kenzo na kushinda tuzo ya Best African Music Performance katika Tuzo za GRAMMY za 68. Wimbo wa Tyla, “Push To Start”, ulikuwa umeingia kwenye kipengele hicho sambamba na “Love” wa Burna Boy, “With You” wa...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tyla wa South Africa ni industry plant? Ashinda tuzo nyingine ya Kids Choice Awards nchini Marekani

    Wakuu, Hivi Tayla ana bahati au kismati cha aina gani? Siku ya jana msanii kutoka Afrika Kusini Tyla aliweka historia ya kuwa mwafirika wa kwanza kushinda kipnegele cha “Favorite Global Music Star” kwenye Kids’ Choice Awards huko Marekani tuzo ambazo zinaandaliwa na kituo cha Nickeledeon...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tyla Malkia wa muziki Afrika

    Ameachieve kila kitu kwenye muziki kwa kipindi kifupi kuanzia kuingiza ngoma Hot 100, kuingiza Billboard 200, kushinda tuzo ya Grammy na kushinda tuzo za BET. Alichobakiza ni kuwa na wimbo wenye streams billion 1 kwenye platform moja na kujaza Arena au Stadium.
Back
Top Bottom