Ongezeko la thamani kati ya mwanamke na mwanaume ni kinyume chake kulingana na ongezeko la umri,Thamani ya mwanamke ina pungua kadri umri unavyozidi kuongezeka wakati thamani ya mwanaume inaongezeka kadri ya umri unavyoongezeka.
Thamani ya mwanaume inazingatia sana ongezeko la uwezo wa...
Ndg zangu Kheri iwe nanyi
Wanaume jambo la msingi na muhimu inatakiwa tujue sisi ME ni wachache sana ukilinganisha na wenzetu KE hivyo tunapoleta Uzi humu kuwaasa na kupeana mbinu na ushauri si kwa ubaya hii itakusadia wewe walau ku survive na kuishi maisha ya Furaha na pia kuepukana na yanayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.