mwana ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni member gani mwana CCM angalau anakubalika kwa michango yake hapa JF bila kuegemea Upande?

    Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
  2. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia Taatlaah mwanaCCM anaihusudu CHADEMA kuliko CCM

    Ndg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt. Hii yote ni kwasababu anaipenda na kuihusudu chadema mnoo kiasi Cha kushindwa kuficha mahaba yake. Kimsingi huyu bwana...
  3. JamiiForums Tanzania Mwana CCM Suphian akana tuhuma za kujihusisha na ushoga wakati akifanya mahojiano na Edwin Odemba

    Kama sio kweli basi badili Body movements ====== Edwin Odemba: Gazeti la Tanzania Daima, toleo la 421 la tarehe 20 April, mwaka 2019, liliandika kwenye ukurasa wake wa mbele kabisa ya kwamba Shoga Suphian awachanganya Zitto na Maalim Seif, na ikawekwa picha yako. Hatukuona mara popote...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini ukikosoa serikali na CCM unaonekana CHADEMA? Na kwa nini ukisifia CCM na Serikali yake unaonekan CCM?

    Hii kasumba hiko kwa watanzania karibia 80% wewe ukikosoa serikalini tu basi wewe ni Chadema. Vile vile ukisifia serikali tu basi wewe ni mwana CCM kwamba ni makosa kua na akili huru? Tujifunze kua wazalendo na kuangalia maslahi mapana ya nchi kwanza vyama baadae CCM inaweza kupotea kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Emanuel Nchimbi Vs Tundu Antipas Lissu. Nitaondoka na Tundu Lissu japokua Emanuel ni mwana CCM mwenzangu atanisamehe

    CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu. Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

    All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba. Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Kigezo kikubwa kuwa Mwana CCM mzuri ni kwanza lazima ukubali kuliwa

    Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ewe mwana CCM umeshindwa kupinga yanayoendele basi tambua unajenga chuki kwa Watanzania

    Kama wewe ni mwana CCM na umeshindwa kupinga yanayoendelea, Chuki waliyonayo Watanzania ni kubwa sana, kuna siku wataanza kuingia ndani ya nyumba zenu
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa mwana CCM na mpenda haki, mpiga ufisadi, na mzalendo wa kwelikweli kabisa kutoka moyoni ni kosa linalostahili kutekwa?

    Kuna mambo yanafurahisa sana wakuu.. Yaani kosa la yule jamaa ni kuwa mkweli na kuwa mzalendo kwa chama chake na taifa... serious kabisa kama taifa lenye vyombo vya dola, mahakama, serikali na watu wenye akili timamu kabisa kabisa tumeamua kuacha na kukaa kimya. Ni aibu sana kwa vyombo vyetu...
  11. JamiiForums Tanzania Mwana CCM jitafakari

    Yawezekana wewe ni mstaafu , uliyewahi kulitumikia Taifa kwa moyo wako wote. Yawezekana bado upo kwenye madaraka na bado unazitii order zote nakukiombea mema chama chako kiendelee kutawala. Yawezekana wewe ni mwanachama wa kawaida unaeshiriki kupambana kuwabagaza wapinzani kwa uwezo wako wote...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni. Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu...
  15. JamiiForums Tanzania Msigwa kama unashangaa waTanzania kutojaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzako mwamposa aujaze uwanja.

    WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini? Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CCM wametufikisha hapa, Tangazo la kuzuwia maandamano ya wananchi wakifurahia pindi anapokufa mwana ccm litataanza kutolewa soon

    Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao Kifo??? Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
  17. JamiiForums Tanzania Sala ya Mwana CCM katili pale anapotaka kufa

    Wana-CCM wote wanaaomuombea Mabaya Lissu, inapofika siku ya kifo wanakuwa wapole kama wananyolewa. Wanajuta sana.. Pamoja na Ukwasi wao na kutunga Sheria zinazowalinda wanapofanya ufisadi lakini saa ya kifo ikifika wanajuta. Dakika ya kifo wanasema, "Roho yangu imezimika, siku zangu...
  18. JamiiForums Tanzania Tumchambue Rostam Aziz, ni mjamaa mwana CCM kweli?

    Billionea Rostam Aziz 'kada' wa CCM Moja ya misingi ya Imani ya mwana CCM ni kwamba : Binadamu wote ni sawa Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake jamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru Pamoja na Imani hizi ambazo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwani PolePole alianza kuwa mwana CCM Lini?

    Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Mwana CCM alitaka kufungua shauri kupinga fomu moja ya uchaguzi wa kugombea rais CCM. Aliishia wapi?

    Mwenye taarifa atujuze Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…