mwalimu nyerere

Julius Kambarage Nyerere (Swahili pronunciation: [ˈdʒuːliəs kɑmˈbɑɾɑgə njɛˈɾɛɾɛ]; 13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. A founding member of the Tanganyika African National Union (TANU) party—which in 1977 became the Chama Cha Mapinduzi party—he chaired it until 1990. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Born in Butiama, then in the British colony of Tanganyika, Nyerere was the son of a Zanaki chief. After completing his schooling, he studied at Makerere College in Uganda and then Edinburgh University in Scotland. In 1952 he returned to Tanganyika, married, and worked as a teacher. In 1954, he helped form TANU, through which he campaigned for Tanganyikan independence from the British Empire. Influenced by the Indian independence leader Mahatma Gandhi, Nyerere preached non-violent protest to achieve this aim. Elected to the Legislative Council in the 1958–1959 elections, Nyerere then led TANU to victory at the 1960 general election, becoming Prime Minister. Negotiations with the British authorities resulted in Tanganyikan independence in 1961. In 1962, Tanganyika became a republic, with Nyerere elected its first president. His administration pursued decolonisation and the "Africanisation" of the civil service while promoting unity between indigenous Africans and the country's Asian and European minorities. He encouraged the formation of a one-party state and unsuccessfully pursued the Pan-Africanist formation of an East African Federation with Uganda and Kenya. A 1963 mutiny within the army was suppressed with British assistance.
Following the Zanzibar Revolution of 1964, the island of Zanzibar was unified with Tanganyika to form Tanzania. Nyerere placed a growing emphasis on national self-reliance and socialism. Although his vision of socialism differed from that promoted by Marxism–Leninism, Tanzania developed close links with Mao Zedong's Marxist–governed China. In 1967, Nyerere issued the Arusha Declaration which outlined his vision of ujamaa. Banks and other major industries and companies were nationalised; education and healthcare were significantly expanded. Renewed emphasis was placed on agricultural development through the formation of communal farms, although these reforms hampered food production and left Tanzania dependent on foreign food aid. His government provided training and aid to anti-colonialist groups fighting white-minority rule throughout southern Africa and oversaw Tanzania's 1978–1979 war with Uganda which resulted in the overthrow of Ugandan President Idi Amin. In 1985, Nyerere stood down and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who reversed many of Nyerere's policies. He remained chair of Chama Cha Mapinduzi until 1990, supporting a transition to a multi-party system, and later served as mediator in attempts to end the Burundian Civil War.
Nyerere was a controversial figure. Across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist and in power received praise for ensuring that, unlike many of its neighbours, Tanzania remained stable and unified in the decades following independence. His construction of the one-party state and use of detention without trial led to accusations of dictatorial governance, while he has also been blamed for economic mismanagement. He is held in deep respect within Tanzania, where he is often referred to by the Swahili honorific Mwalimu ("teacher") and described as the "Father of the Nation".

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo. Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni nchi ikiwa vizuri. Je, Uongozi ulimshinda? Soma Pia: Kumuelewa...
  2. Kisa Kizito cha Mzee aliyemnyooshea Bakora Mwalimu Nyerere

    Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo, sio Nyerere wa sasa, kijana kabisa mtanashati. Namkumbuka kwa sababu sigara akinunuwa dukani kwetu...
  3. Moja wapo ya hotuba bora ya mwalimu Nyerere

    Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana. Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai mustakabali mwema, sana akipoteza ni huo umaskini na unyonge wake, hii nukuuu inatufaa sana wakati huu.
  4. Rais Samia -"wanasiasa wajanja", Nyerere "wanasiasa wanyonyaji"-'kupe"

    Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe. Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli" Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona...
  5. Prof. Shivji na Wengine Wamkumbuka Mwalimu Nyerere

    PROF. SHIVJI AMWELEZA MWALIMU NYERERE Ilikuwa siku ya uzinduzi wa nyumba ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere baada ya kufanyiwa ukarabati. Baada ya uzinduzi wadau wa historia ya Mwalimu Nyerere tulijumuika kuzungumza. Kabla ya shighuli hii nilitembelewa na maofisa wa nyumba hii ya kumbukuzi...
  6. Mwalimu Nyerere na Tatizo la Udini na Ukabila

    Hotuba nzuri sana iko hapo chini Mwalimu akionya kuhusu tatizo la udini na ukabila. Msomaji wangu mmoja kaniletea na kuniomba nimpe fikra zangu kuhusu hii kansa. Nami nimejitahidi kuliangalia tatizo hili nikipitia historia yake mwenyewe Mwalimu. Mwalimu Nyerere alipigiwa kura kuwa Rais wa TAA...
  7. Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

    Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili. Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha. Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial...
  8. Waziri Dkt. Ndumbaro: Tanzania Inaandaa Mashindano Mapya ya Mwalimu Nyerere Liberation Cup

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Tanzania imeandaa mashindano mapya yaliyopewa jina la ‘Mwalimu Nyerere Liberation Cup’ ambayo yatakuwa ni mashindano ya vijana wenye umri wa miaka 20 yatakayojumuisha Bara lote la Afrika. Dkt. Ndumbaro amesema hayo katika...
  9. Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  10. S

    Mwalimu Nyerere bado yupo sahihi kwenye muungano, Umoja haujapoteza maana

    Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni. Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
  11. Dar: Wiki ya Ubunifu Tanzania toleo la kumi kuzinduliwa Kesho Ukumbi wa Mwalimu Nyerere

    Wiki ya Ubunifu Tanzania toleo la kumi kuzinduliwa Kesho 21 Mei 2024 Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Mkoani Dar es Salaam na Kilele chake kufanyikia Mkoani Tanga. Akiongea na Vyombo vya habari, leo tarehe 20 Mei 2024 Mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia...
  12. J

    PreGE2025 Nyerere alipenda kuuliza "Wewe kama Mbunge umewafanyia nini Wananchi hawa waliotuchagua?"

    Siku hizi Wabunge ni wajanja sana kabla hawajaulizwa swali kama hili Wao Ndio huanza kumpamba Rais kwamba yeye Ndio alpha and Omega. Nakumbuka Mwalimu Nyerere alipombabatiza na swali hili mbunge wangu wa Kinondoni Wakati Ule Ndugu Msakandeo. Nyerere: Ndugu Msakandeo tuambie Wewe kama Mbunge...
  13. Tujikumbushe...Mohamed Shebe Mpiga Picha Aliyehifadhi Historia ya TANU na ya Mwalimu Nyerere na Mengineyo Yaliyokuwapo 1950s

    https://youtu.be/5Ien7R24MA0?si=GN5lEs68WWX1OLq6
  14. Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale...
  15. Dkt. Biteko: Bwawa la Mwalimu Nyerere lipo Salama. Limepunguza athari za mafuriko

    DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA 📌 Asema limepunguza athari za mafuriko 📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji 📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika 📌 Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
  16. M

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi. Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji. ==== --- Torrential rain and...
  17. Mafuriko yaliyotokea Dubai na tehran juzi na Jana yamesababishwa na bwawa la mwalimu Nyerere! viongozi wetu wamekosa umakini !

    Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru...
  18. Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika hakuna propaganda ya kuuzuia tena

    Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma. Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo...
  19. Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

    Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani? Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje? Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…