mwaka 2020

Joel Mwaka (born March 16, 1960) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Chilonwa in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah walihusika na Mlipuko wa Beirut Lebanon mwaka 2020!!!

    🖤🇱🇧 Miaka sita iliyopita leo, Beirut ilibomolewa na mlipuko mmoja wenye nguvu zaidi usio wa nyuklia katika historia. Zaidi ya watu 220 waliuawa, zaidi ya 7,000 walijeruhiwa, karibu 300,000 walipoteza makazi yao, na jiji zima liliachwa na kovu katika sekunde chache. Maumivu ya siku hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Kitambulisho changu hakitoki toka mwaka 2020-2022

    Habari, Nilijiandikisha na nida mwaka kati ya mwaka 2020-2022 nikapatan namba vizuri tu lakini baada ya hapo sijawahi kupata kitambulisho changu mpaka leo. Licha ya juhudi zangu kufuatilia katika ofisi mbalimbali niliambiwa ya kuwa kitambulisho kipo hatua ya mwisho kwenye mchakato wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Azam waliondoa youtube mechi yao ya shirikisho mwaka 2020 na Simba

    Mnaojua kiswahili mtasahihisha kichwa cha habari. Mwaka 2020 katika mashindano ya shirikisho Simba iliyokuwa ya moto ikitembeza pira biriani iliwapa vipigo Azam Fc 4-0 na Yanga 4-1. Cha ajabu mechi ya yanga wameiacha ila mechi yao waliyobamizwa wameiondoa hii inamaanisha nini ina maana wanataka...
  4. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 Rais Samia alifanya mikutano mingi kuliko Magufuli

    Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa mwaka 2020 na maajabu yake

    Heshima sana wanajamvi, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kilikuwa Arumeru kata ya Bangata. Nakumbuka asubuhi ya saa 2:35 nilikijongelea kituo cha kupiga kura Shule ya Msingi.Nikaanza kutafuta orodha ya majina ambayo yalikuwa yameorodheshwa kwa kufuata alphabet baada ya kuliona jina langu naingia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia kiasi cha fedha za mishahara kwa mwezi kimeongezeka kutoka TZS608bn mwaka 2020 hadi 856bn mwaka 2025

    Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja...
  7. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020: Hayati Magufuli alichukua fomu ya kuwania Urais ya CCM; kusaka wadhamini na kuidhinishwa

    Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata wadhamini hao. Kwakuwa alikuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 kwenye Kila Vizazi hai Vya Mifugo 100 Mifugo 27 ilikufa Mwaka 2024 Vifo Vimepungua hadi Mifugo 12 tu,Tunamtaka Samia Tena.

    SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna kitu sijaelewa. Mwaka 2020 Serikali ilitenga Bilioni 268 kugharamia Uchaguzi, mwaka huu wametenga Bilioni 741. Hili ongezeko ni la nini?

    Wakuu, Rasmi sasa Mwigulu Nchemba ametangaza kiasi cha pesa ambacho Serikali kitatumia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mwigulu amesema kwamba kwa mwaka huu, Serikali imetenga Tshs Bilioni 741.5 kwa ajili ya Uchaguzi tu. Ikumbukwe kuwa mwaka 2020, Serikali ilitenga Tshs Bilioni 268 kwa ajili ya...
  13. JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  14. JamiiForums Tanzania Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  15. JamiiForums Tanzania Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  16. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo

    Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53 vya kuchakata mazao ya nyuki. Aidha mashamba ya Silayo hekta 69,756 yameanzishwa yaliyopo Mpepo...
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

    Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

    Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba? Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti? Britanicca
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…