Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate hela. Hata kama waandishi ni zaidi ya 30, kila mmoja anachukua chake kisichopungua Sh. 50,000. Pia...
Anonymous
Thread
conference
mwaipopo
nani
press conference
wanahabari
zake
Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu
Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe
Majaji nao wanapita mitandaoni wanaweza kumezwa na hii pressure na kutoa hukumu ya kumnyonga Lissu ili akina...
Hamjambo!
Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na...
Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!.
TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha.
Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu.
Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI.
Endeleeni kumtuma...
HUYU ni wazuri Gani huyu? Kuna mawaziri wengine wa nchi nyingine wanafanya kazi iliyotukuka...nani anamjua wazuri wa mambo ya ndani wa Rwanda? Au south Africa? Au Botswana?
HUYU waziri wenu Niko hapa nasema ni Kichekesho sijawah kuona. Hivi hii nchi Ina laana ama imelogwa? Ni uchawi Gani...
Haya mambo yanahuzunisha sana na kuchochea chuki dhidi ya serikali kutoka kwa wananchi.
Huyu Shekhe Mwaipopo alisikika wazi yale aliyosema atafanya, na kwamba alikuwa na genge lake ni wazi alidhamiria uhalifu wa wazi.
Eti leo anaongea hadharani ni kwa sababu ya Uzalendo! Hivi kati yake na Lissu...
Kada mashuhuri wa CCM Saidi Mwaipopo (sheikh?) kasema CCM ni chama kisichoweza kushindwa hivyo akasema watanzania wamuachie Mungu.
Msioamini kuwa Kuna Mungu kina Nyani Ngabu kazi kwenu.
Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza...
Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums),
Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani tushirikishane mawazo na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa sasa wa utoaji haki na usawa wa...
Kutokana na kile kinachoonekana kwamba viongozi wa imani fulani wameenda kumuona Maza na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mazungumzo yao na maza;kuna kila dalili kwamba Mwaipopo ataruka tena hewani ku challenge kilichozungumzwa.
Hii ni kutokana na kwamba mdau huyo yupo mbele ya watu fulani...