mwaifunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Mwaifunga aahidi zahanati na barabara kwa wananchi wa kata ya Tumbi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiwa katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tumbi leo Septemba 21,2025 amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kukamilisha ujenzi wa Zahanati na ukarabati wa Barabara inayotoka Barabara kuu ya Urambo hadi Kijiji cha...
  2. Just Pray

    GE2025 Mgombea udiwani Isevya: Mwaifunga alikuwa mbunge wa low profile sasa anaibuka juu

    Aliyekuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tabora ambaye kwa sasa ni Mgombe wa nafasi ya udiwani Kata ya Isevya kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ramadhani Kapela amezindua rasmi kampeni ya kuomba ridhaa kwa wakazi wa kata hiyo Akizungumza na kumuombea kura Rais na Mgombea Ubunge Jimbo la...
  3. Just Pray

    GE2025 Hawa Mwaifunga: Mkinipa kura nitaenda tonge kwa nyama kata ya tambukareli ipate zahanati

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiongea katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tambukareli amewaomba Wananchi wa kata hiyo kumpigia kura awe mbunge akasimamie ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2025/30. Mwaifunga amesema kuwa kupitia ilani ya...
  4. W

    GE2025 Bashe amlisha kiapo Mwaifunga jukwaani, amuahidi kiwanda cha tumbaku Tabora

    Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Septemba 19,2025 akiwa katika mkutano wa Kampeni kata ya Gongoni Jimbo la Tabora mjini amemlisha kiapo cha kuwatumikia Wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Hawa Mwaifunga mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano...
  5. Patriot missile

    Mwaifunga: Wajumbe tukimchagua Mbowe hata Kama hatujahongwa Wananchi Watasema tumehongwa tu tukimchagua Lissu Wananchi Watatuita sisi ni "Mashujaa"

    Anaandika Moses Mwaifunga === MUONEKANO WA WAJUMBE ENDAPO MBOWE ATATANGAZWA MSHINDI KWA WADAU NA WAPENDA MAGEUZI, Wakimuona tu mjumbe anacheka watamwangalia mdomoni je alilambiswa nini,wakiona tu mifuko imetuna watamwangalia kwa makini awemeka nini kwenye pochi,mjumbe akipita kwenye ATM ndo...
  6. BARD AI

    Wakili Kibatala na Mbunge Hawa Mwaifunga wazua mvutano mzito Mahakamani

    Mvutano mkali umeibuka baina ya Kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala akimhoji mlalamikaji wa 11, Hawa Mwaifunga katika kesi ya wabunge 19 wa Viti Maalumu waliofukuzwa uanachama na chama hicho. Mvutano huo umetokea wakati Kibatala akimhoji Mwaifunga kuhusiana na muhtasari wa...
Back
Top Bottom