Wakuu,
Mvua imekubali, usiku wa kuamkia leo Machi 14 mvua imepiga kwelikweli, na mpaka sasa Dar bado inaendelea kunyesha, japokuwa speed imepungua.
Huko ulipo kuna hali gani? Njia zinapitika? Kuna palipotokea maafa? Tupeane updates kwa walio na changamoto wapate msaada haraka.