mussa zungu

Mussa Azzan Zungu (born 25 May 1952) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ilala constituency since 2005.

View More On Wikipedia.org
  1. Mussa Zungu: Tutegemee mengi magumu yatakuja. Asema kupanda kwa bei hakujatengenezwa na Serikali

    Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile. Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala...
  2. Mussa Zungu: Ni kweli tozo za miamala zipo juu

    Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea. Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya...
  3. Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

    Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano. ====== UPDATES: Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…