Mussa Azzan Zungu (born 25 May 1952) is a Tanzanian CCM politician and Deputy Speaker of Tanzania National Assembly. He's also current Member of Parliament for Ilala constituency since 2005.
He has continued to retain the parliamentary seat in 2010 & 2015. He was appointed as the Minister of State in the Vice President's office on January 24, 2020 and server for 6 months before the parliament was dissolved on June 16, 2020. He is now the Deputy Speaker following the resignation of the former Speaker Job Ndugai, and the, by then, Deputy Speaker Dr. Tulia Ackson elected to become current Speaker of the Parliament.
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu (Mb), ameongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika siku ya leo tarehe 24 Machi, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.
Katika kikao hicho, Wajumbe wa Tume walipokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu, amekanusha madai ya vyombo vya habari yanayodai kuwa baadhi ya wabunge wameitwa kuhojiwa na TAKUKURU kutokana na michango yao wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais. Akizungumza bungeni Dodoma Februari 5, 2026, amesema ofisi yake...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ameomba familia ya marehemu Jenista Mhagama kuendelea kuwa wamoja, kushikamana na kuepuka kusikiliza maneno yoyote ya kuwagawa, akisisitiza umuhimu wa upendo na mshikamano katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Zungu ametoa kauli hiyo leo Desemba 13, 2025...
Mussa Azzan Zungu, pamoja na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed, walikutana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Saqr Bhogash, Abu Dhabi tarehe 25 Novemba 2025.
Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano wa...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura.
Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
azzanzungu
baada
bunge
bunge la 13
bungeni
jamhuri
jamhuri ya muungano
kikao
kuongoza
kwanza
mara
mheshimiwa
mkutano
mussaazzanzungu
muungano
novemba
spika
spika wa bunge
tanzania
uchaguzi wa spika
ukumbini
zungu
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kwa kishindo kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti CCM katika Uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Dodoma.
Taarifa zinasema Zungu amepata Kura 348 akimshinda mpinzani wake...
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema Jengo la Bunge ni la Wananchi na hakuna Mwananchi anayekatazwa kutekembelea lakini lazima kuwe na utaratibu ambapo amesisitiza kuwa suala la Wabunge kukaguliwa ni la muhimu na lazima kwa kuwa wapo wanaoamka na Watu tofauti.
Amesema hayo Bungeni...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameishauri serikali kubadilisha ratiba ya safari za treni ya reli ya kisasa inayotumia umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma na kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam, ili treni hizo ziwasiIi kwenye miji hiyo saa...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata mabadiliko wanayoyataka na kuyahimiza ya kisheria na kimfumo yatapatikana ndani ya bunge hilo na siyo...
Wakuu mnakumbuka hoja ilipowasilishwa bungeni ili kujadili kuhusu masuala ya usalama nchini na utekaji uliokithiri mpaka kusababisha kifo cha Ali Kibao? Nini kilitokea?
Tulia alishupaza shingo, utekaji likawa jambo la kipuuzi, ambalo halifai kwenda kwa hati ya dharura, halafu hapa kila mbunge...
Wakuu,
Naibu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu leo bungeni amemtaka Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko kufuata taratibu za bunge ikiwa ana tatizo lolote na yeye baada ya tofauti kutokea kati yao wakati bunge likiendelea.
Pia soma: Pre GE2025 - Uzi Maalum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.