mungu wa israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni Mungu yupi anayemhubiri Mwamposa kiasi cha kuwabariki wasiomuamini Mungu wa Israel

    Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo. Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa. Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
  2. R

    Mungu wa Israel ni mkuu

    Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia...
  3. S

    Iweje awe Mungu wa Isaka, Yakobo, Ibrahim na Taifa la Israeli. Kwanini asiwe Mungu wa Massawe na Chausiku?

    Mungu wa mchongo kiasi hiki hapaswi kuabudiwa. Watu wanakufa kwenye vita, Watu wanakufa kwa njaa, Watu wanakufa kwa magonjwa. Ila huyo Mungu ametulia tu katika kiti chake cha enzi. Kama kweli kuna huyo Mungu basi ni dhahiri ni katili sana.
Back
Top Bottom