Shekhe Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally, amesema kuwa hakuna ukweli katika taarifa zinazosambazwa kwenye Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii zinazoashiria kuwa Wakristo wanawatukana au kuwafanyia fujo Waislam.
Mufti Zuber ameeleza hayo leo wakati akizungumza kwenye...