mtumishi wa mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi ya kuwa "mtumishi wa Mungu"

    Hizi hapa njia za kuwa mtumishi wa mungu na kuukwaa utajiri 1. Jifunze kusema uwongo 2. Jifunze jinsi ya kuchezea akili za watu 3. Jifunze kuvaa suti au gauni jeupe 4. Craim biblia yote juu ya kichwa chako. 6. Tafta kamganga gwiji kakusaidie kufanya mazingaombwe kidogo. 7. Pata...
  2. E

    Man of God

    Wakuu kwema? Wazee wa zamani walisema "Don't judge a book by it's cover".
  3. Mwamposa ni Mtumishi wa Mungu; je, hii Huduma aliyonayo ya LIPA KWA SIMU ya Tigo Pesa amepewa na anaitumia kama nani?

    Lipa kwa Simu kwa mujibu wa Watu wa Makampuni ya Simu na kwa Maagizo ya Serikali ni Maalum tu kwa Wafanyabiashara na siyo Watu Wengine. Hivyo basi GENTAMYCINE nauliza hii LIPA KWA SIMU ya Tigo Pesa namba 5135393 yenye Jina la Boniface Mwamposa amepewa kama Mtumishi wa Mungu au Mtumishi wa Mungu...
  4. Suguye ni mchawi au ni Mtumishi wa Mungu?

  5. Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Wanabodi, Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje? Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…