mtume mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal_TZA

    PostGE2025 Mwamposa “Mauaji yaliyotokea siku ya uchaguzi yalinihuzunisha sana”

    Mtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea katika Uchaguzi wa October 29,2025 “Nimesikitika 2025 kgutokana shida iliyotokea katika Taifa letu...
  2. J

    Mtume Mwamposa kufungua Jengo kubwa la Ibada hivi karibuni, litakuwa kubwa kuliko Majengo yote ya Ibada Africa

    Nabii na Mtume Mwamposa amewataka waumini wake wajiandae kupikea ugeni mkubwa sana wakati wa ufunguzi wa Jengo jipya la Ibada Wageni hao watatoka duniani kote wakiwo viongozi wakubwa Source: Arise and Shine tv Mlale unono 😁
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Mtume Boniface Mwamposa ndani ya mkutano Mkuu wa CCM

    Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  4. D

    Simba SC wageukia Madhabahu. Wamuomba Mtume Mwamposa "ahudhurie" mchezo wa tarehe 9/04

    Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025. Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea. Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo...
  5. J

    RC Chalamila: Rais Samia ndiye ameruhusu Mtume Mwamposa aendelee kuwepo hapa Kawe, tuzidi kumuombea asije tokea Rais mwingine asiyemjua Mungu!

    Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe "Lakini Rais Samia alinituma nipeleke sadaka yake Kwa Mtume Mwamposa na kuniagiza nimwambie aendelee kubakia hapo Kawe na kuwaponya Watanzania, hivyo tuzidi kumuombea Ili asije kutokea Rais...
Back
Top Bottom