mtume mohammad

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    Barua ya wazi kwa Mtume Mohammad (S A W)

    As-salatu na salam, ewe Rasul wa Rahma, Nuru yako bado inang’aa, hata karne zikipita, Tumekuletea kilio cha Umma, kutoka Tanganyika hadi Gaza, Kwamba hatuwezi tena kuishi bila mwongozo wako. Baada yako, Bakr al-Siddiq aliweka msingi, ʿUmar akaleta adili, ʿUthmān mnyenyekevu, ʿAlī jasiri...
  2. S

    Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi

    Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke...
  3. MK254

    Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  4. J

    PreGE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

    Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia. Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi. === Pia soma uzi huu...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Huu uchawa umezidi: Ahmed Kombo adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia

    Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea! Ndio tunaelekea huku na Rais Samia...
Back
Top Bottom