mtuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Askari SUMA JKT wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia askari watatu wa Suma JKT kwa tuhuma za kumtesa hadi kumuua mkazi wa eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru, Almasi Mohamed wakimtuhumu kwa wizi wa mahindi. Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha, Jastine Maseju akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Septemba 7...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mtuhumiwa ugaidi aliye shujaa kwa wengine

    Dunia ya Mungu ina mengi. Ndiyo maana waungwana walisema ukiyastaajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firauni. Inasemekana Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mtoto wa ubatizo kwa hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyempa jina Freeman, akimhusisha na siku aliyobatizwa: Kwamba pia Makongoro Nyerere...
  3. JamiiForums Tanzania ZPC Muliro: Mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwe Shilingi 2 Milioni.

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
  4. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa mauaji ya Mwalimu Frola Mariki akamatwa

    Mkazi wa Tabata Kinyerezi, Dar es Salaam, Flora Mariki (34) anadaiwa kuuliwa na mtoto wa shemeji yake, binti mwenye umri wa miaka 22 baada ya kutokea ugomvi baina yao. Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Janet Magomi amesema tukio hilo lilitokea Jumapili Mei 30, 2021 na mtuhumiwa huyo (ambaye...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

    Gazeti la Mwananchi linaripoti kuwa Askari Polisi nchini Tanzania afande Isaya Kawogo amefariki.dunia akiwa kwenye harakati za kumkimbiza ili kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu Tukio hilo limetokea Mwisenge Musoma wakati Askari huyo akijaribu kumkamata mtuhumiwa huyo wa Ujambazi aliyejitosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…