mtu akifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idiomer

    Hivi ni kwanini mtu akifa ndio husifiwa sana?

    Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki. Au ndio marehemu hasemwi vibaya. Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote? Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi alikua mbaya kuliko wote upo?
  2. M

    Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu: Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Swali hili limekuwa ni kitendawili kwa wanadamu wote: Mtu akifa, anaenda wapi? Maandiko ya kale ya Henoko 22:18–26 yanatupa picha nzito ya safari ya roho baada ya kifo. Hebu tusome kwa pamoja: 18 Kutoka hapo nikaenda mahali pengine, mlima wa mwamba mgumu. 19 Na ndani yake palikuwa na mashimo...
  4. Genius Man

    Kama mtu akifa anaenda mbinguni kwanini watu wanaogopa kifo, kwanini wanalia, je kwenda mbinguni ni jambo baya sana ?

    Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo? Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni? Kumekuwa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Wengi hawajui kwanini mtu akifa hufanyiwa mema sana, muda mwingine gharama ya mazishi ni kubwa zaidi pesa aliyoikosa kwa matibabu mpaka akafa. Come on

    BINADAMU yuko katika sehemu kuu 3 . 1. Mwili Huu mwili unaishia hapahapa mavumbini kwa waovu na wema. Kwenye mwili ndiko nafsi na roho hukaa kuweka makazi. 2. Nafsi Nafsi ni mjumuisho wa akili, hisia na takwa. 3. Roho Roho ndio kiunganishi cha nafsi na mwili mbele za Mungu. Roho ndio humfanya...
Back
Top Bottom