Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mzazi anayefahamika kwa jina la Daniel Muga, Mnyaturu ambaye ni fundi ujenzi, mkazi wa Bombambili Ukonga Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa miaka mitatu kwa kumpiga na kitu kizito kichwani.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...