Wanu mbona kama anajitetea sana! Ety anazijuwa shida maana urais wenyewe ni wameupata jana tu
===============
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amesema yeye anazifahamu changamoto zinazowakabili wananchi kwani kuwa mtoto wa...
Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya kuchapisha tisheti.
Shughuli za kamapeni zinazoendelea CCM zinasimamiwa na familia na mtoto wa rais
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama.
Hata utani au mifano hataki
1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini
2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno
3. Gwajima akamtolea mfano...
Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.