mtoto wa kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kitabu-Malezi bora ya mtoto wa kiume

    Watoto wa kiume wanapitia changamoto nyingi sana ,kama matumizi ya madawa ya kulevya,udhalilishaji wa kijinsia, uchaguzi wa marafiki wabaya, makundi maovu na nyingine nyingi. Kitabu ni ebook bei 4000. Simu na whatsapp 0756625286.
  2. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke ana lipi la kumfunza mtoto wa kiume linapokuja suala la urijali?

    Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu urijali wa mwanaume. Ili kumlea mtoto wa kiume awe rijali ni lazima kwa kiasi fulani kuwe na mlezi...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

    Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
  4. JamiiForums Tanzania Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

    Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa. Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12] Niko na...
  5. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Kusafiri baba na mtoto wa kike wa miaka 10

    Salaam Naleta mada hii kama chemsha bongo. Huwa natafakari Sana. Je kama Baba napenda mwanangu wa pekee wa kike mwenye umri Kati ya miaka minane na kumi nambili, napenda kwenda nae safari ya mbali kwa sababu mbalimbali ukiwa ni pamoja na holiday tu. Napenda kusafiri na mwanangu, pengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…