Fuatilia kila anapopita na kusikiliza kero za watu. J
Hakuna muitikio au msisimko kama kuna kiongozi mkuu wa chama tawala yupo kusililiza kero na kujua mapunngufu ya chama chake.
CCM haikubaliki kwa sasa hii ndio picha kamili.
Mwenezi wa CCM nae hakubaliki.
By Malisa:
Kwa dunia Australia inaongoza kwa uranium deposit ya tani 3.6 milion. Kazakhstan inafuata kwa tani 2.9 milion. Kwa Afrika, Namibia inaongoza kwa tani milioni 1. Wote hao Uranium yao haimezewi mate. Sasa fanya kuswipe uone uranium inayomezewa mate na mabeberu Tanzania ni ya nafasi za...
Hawa ndio wanahujumu maendeleo, wengi wao ni bora liende. Hawana exposure, hawana confidence wala hawawezi kuchakakata data za maendeleo katika maeneo yao. Wanatumika kwenye wizi wa kura na kutetea wala rushwa.
Huyu mtendaji mwenye cheti anaweza kwenda kwa Mkuu wa shule mwenye shahada ama...
Mnamo Septemba 18, 2025 katika mahakama ya wilaya ya Nachingwea limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22689/2025 mbele ya Hakimu Mwandamizi Mkuu Mh.J.Mnguto, Jamhuri dhidi Seleman Ajibu Chimogo ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Lionja Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea.
Mshitakiwa...
Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa imemhukumu Bw. Badwin Atanazi Chundu (60), Mtendaji wa Kata ya Ikozi, kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kurejesha zaidi ya Shilingi milioni 44 alizozitumia vibaya.
Kwa mujibu wa taarifa ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa...
Tarehe 17/07/2025 Mahakama ya Wilaya ya Mbulu katika shauri la uhujumu uchumi (ECC. No. 13987/2025) imemtia hatiani mshtakiwa Mtendaji wa Kata ya Kainam Bw, ELIWANGU FADHILI MKUMBWA kwa kosa la ufujaji na ubadhilifu wa fedha za mradi wa Kituo cha Afya Kainam alizozitumia kwa manufaa yake...
Wakuu,
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoani Songwe imemhukumu kifungo cha miaka 20 gerezani aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Mbuyuni baada ya kumkuta na hatia ya uhujumu uchumi.
Afisa Mtendaji huyo, Assan Jacob anadaiwa kukusanya Shilingi milioni sita kutoka kwa wananchi 200 wa kata...
TAARIFA KWA UMMA.
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa linawashikilia watu saba kwa kosa la kutishia kuua kwa Maandishi huko katika kijiji cha Ngelenge Kata ya Luhuhu wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe watu hawa saba walitenda kosa hilo tarehe 3.12.2024 kwa kubandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.