mtandao wa x kufungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Platform ya X (Twitter) haifunguki hata kwa vpn ni joto la 7 7 kupanda na uoga wa jamhuri??

    Habari ya usiku huu. Kawaida kila siku lazima nitembelee kidogo twitter kuona mambo mbali mbali ya duniani huko. Lakini leo hata kwa VPN haiendi hata kidogo je ni kwangu tu au na wengine mnapata hii shida
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Slaa: Tuli-discourage matumizi ya X kwa taasisi za Serikali ili kuendana na katazo la Serikali la kuiondoa X kwenye anga letu

    Wakuu, Akiwa kwenye kile kipindi cha Cafe Talk, Silaa amesema kwamba kutokana na kufungiwa kwa X Tanzania, Serikali ime-discourage taasisi zake kutumia mtandao wa X ili kuendana na katazo hilo. "Currently tume-suspend X kwenye anga la Tanzania lakini kuna kitu kinaitwa Virtual Private Network...
  3. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kufungia mtandao wa X zamani (Twitter)Tanzania

    Ukiingia kwenye page za twitter (X) unakuta viongozi wakubwa kabisa wanapost vitu kibao tu . Sasa je , inamaana na wao wanalazimika kutumia VPN ku access twitter ? Kama malengo nikuifungia Twitter isitumike bongo , mbona wao bado wanendelea kupost? Naomba msaada wa kimawazo
  4. X

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

    Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo! Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
  5. Forgotten

    JamiiForums Tanzania X (Twitter) imefungiwa?

    Watumiaji wa X (Twitter) mliopo JF, naomba kujua X kwenye vifaa vyenu mnaipata bila matatizo? Kwenye simu yangu tokea mchana wa leo X haifunguki: kwenye app na web. Nimejaribu kutumia Proxy Server (United States) kwenye web imefunguka, nikajaribu tena kwa mtandao wa ISP (Halotel) haifunguki.
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape akiri kufuatilia mijadala inayoendelea kuhusu mtandao wa X kufungiwa, asema TCRA itatimiza wajibu kuhakikisha watoto wanakuwa salama

    Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
  7. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya...
Back
Top Bottom