Katika hali iliyoshangaza wengi, Waziri wa Vijana nchini Uganda ametoa ufafanuzi wa kutatanisha kuhusu sababu za kukatika kwa huduma ya mtandao wakati huu wa mchakato wa uchaguzi mkuu nchini humo.
Soma pia: Uganda yatangaza kuzima Intaneti kuanzia leo Januari 13 ili kupisha Uchaguzi Mkuu...
Naitwa Tesha kwa asilimia mia moja nipo na Mange katika ukombozi wa Taifa hili lakini tutambue kuwa mitandao ni silaha kubwa sana kuhakikisha tunatoka kwa namba kubwa. ushauri wangu hakikisha una VPN za aina zote ingia Play store na App Store pakua zote kikubwa tusipoteane siku hiyo.
Mwenye...
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.