Shalom wakuu.
5. Tottenham
Imemaliza mkiani EPL(17), ila inastahili baada ya kutwaa Europa hivyo kuingia UCL.
4. Liverpool
The Reds msimu huu wametwaa EPL, walikua bora sana kabla ya kupoteana mwishoni mwishoni.
3. Inter Milan
UCL Finalists
Coppa Italia Finalists
Serie A Runner ups (kwa...