Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:
"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.
Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope...