msikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bukoba: Rais Samia afungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Juni 10, 2022

    Rais Samia akifungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Bukoba Mkoani Kagera, leo Ijumaa Juni 10, 2022 Shukrani za kipekee kupitia kwako Muwakilishi wa Balozi wa Oman, ziende kwa Sultan wa Oman na vilevile kwa niaba ya mtangulizi wake ambaye ndiye muasisi wa ujenzi wa Msikiti huu. Mwenyezi Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Muandamanaji wa Kiislamu akamatwa kwa kukojolea Msikiti wa Al Aqsa

    My take:I didn't see Al Jazeera, CNN or BBC reporting about the Palestinian urinating on Al Aqsa. Weird. ==== Israeli police arrested on Wednesday a Muslim on suspicion of rioting, violating the public order, throwing rocks at police forces, and releaving himself on the roof of the Al Aqsa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

    Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada. Ni wakati sahihi wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

    Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati Msikiti na jengo la Kanisa Katoliki katika eneo lao Naye mkuu wa shule ya jeshi Msata ameahidi kusaidia...
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

    Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hii ahadi ya Rais Samia kujenga msikiti Chato imekaaje?

    Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti. Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!? Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana...
  7. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Shambulio baya lakumba msikiti wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa

    Mlipuaji wa kujitolea muhanga amelenga msikiti mmoja kaskazini mwa mji wa Afghanistan wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa na kuwaua takriban watu 50. Picha katika mitandao ya Kijamii zimeonesha miili na vifusi ndani ya msikiti , unaotumika sana na jamii ya walio wachache wa dhehebu la Shia...
  8. JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Usifanye siasa kwenye chanjo; uhai wako sio mali ya Kanisa, Serikali au Msikiti

    "Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, nenda kachanjwe”———RC Mtaka
  9. JamiiForums Tanzania Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

    Israelis Reportedly Allowed to Pray on the Temple Mount. Several Jewish people could be seen praying on the Temple Mount over the weekend; In addition to prayer, it’s reported that even Torah teachings have taken place; Cherki: The change in policy is “a revolution, unfolding quietly and...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

    Marekani;Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee Jabin Ahmed Ruhii anasema malalamiko yake mtandaoni yalifanya jamii ijadiliijadili Jamii ndogo ya waislamu mjini New York imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nafasi ya wanawake, baada ya mwanamke mmoja kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…