msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchungaji Msigwa: Kama nilivyoshambulia CCM, naishambulia CHADEMA kwa sababu ni waongo. Tumeandamanisha watu, wengine wamekufa!

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali. Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni. Soma pia: Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima Msigwa amesema kuwa kama...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa

    Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa. Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo, Lemma alijiapiza hatagombea cheo chochote kanda ya kaskazini. Wakati Msigwa akikitifua ndani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Benson Kigaila ampiga dongo Mch. Msigwa, asema njaa ya tumbo ikihamia kichwani unakuwa na matatizo

    Wanajukwaa hiki kijembe cha Kigaila moja kwa moja kinamlenga Msigwa, anasema kamwe usifikirie kwa kutumia tumbo, maana njaa ikishahamia kichwani ni shida.
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima. Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu...
  5. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa mbona kimya sana? Ama keshatupwa ghalani?

    Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwamba Peter Msigwa anataka tuamini yeye ni CCM kuliko wenye CCM yao?

    Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa. Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti? Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Mch. Msigwa adai CHADEMA hawana uhalali wa kumkosoa Rais Samia

    Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
  9. JamiiForums Tanzania Aidan Msigwa amfunika Nasibu abdul(Diamond Platinumz) kwa utajiri

    Mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu aidan msigwa nadhani mpaka sasa atakua amemfunika ndugu diamond platinumz kwa utajiri baada ya kufanikiwa kusajili na kuuza madini ya dhahabu kilo 111.82 yenye thamani za kitanzania shilingi bilioni 20.11 katika soko la madini chunya
  10. JamiiForums Tanzania Mch. Peter Msigwa yupo live kwenye kipindi cha Medani Za Siasa cha Star TV

    Mchungaji Peter Msigwa kada mpya wa CCM yupo live Star Tv. Fungulia tumsikilize Soma Pia: Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu
  11. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili na uwezekano Freeman Mbowe na Mchungaji Msigwa kumaliza tofauti zao nje ya mahakama

    Ama kweli siasa sio uadui, na hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa.. Wabobevu na manguli wa siasa za Tanazania wameamua kujitosa na kuchukua hatua za kuingilia kati ugomvi wa kisiasa na kutuliza vita ya maneno, kashafa na tuhuma za kisiasa baina ya F. Mbowe mwenyekiti wa chadema taifa na...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Msigwa ndani ya CCM ni assert ama ni liability?

    Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa. Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sio Soka tu, hata msigwa tumombee dua

    juu ya yote, tumuombee dua Msigwa. hayupo vizuri ameunja record record za dunia. haiziwekani kakaa na Mbowe miaka 20, ghafla dakika 1 imekuwa adui. Hakuna mtu duniani sample hio hakuna .tangu ianze siasa za vyama vingi hii haijawahi kutokea, ndio kwanza tunaona. labda tusema mmoja akiingilia...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

    Wanaukumbi. MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

    Salaam, Shalom!! Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk. Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa, Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe kwa Msigwa. Niko tayari kuwa shahidi wa Msigwa

    Ninao ushahidi usioacha shaka kutetea kauli ya Mch Peter Msigwa kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatumia chama hicho kama saccos binafsi tena ya familia. Na kwamba anatumia Mbowe Foundation kukwiba fedha za chama hicho (ruzuku). Hata 2010 katika Uchaguzi mdogo jimbo la Busanda...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mch Msigwa: Mbowe na CHADEMA hawana tena ujumbe kwa Watanzania

    Friends and Enemies, Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv. Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira. Kwa Mfano anasema,mbowe...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!

    Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka. Soma Pia: Peter...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa aendelea Kuwavurumishia Makombora Mazito CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote. Mtumishi huyo wa Mungu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

    Ndugu zangu Watanzania, Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania. Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…