Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.
Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini.
Msiba unapoisha suala kukuta mchele...