Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.
Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda...
Wakuu,
Mossy Lukuvi, ambaye ni mdogo wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratıbu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, amewaomba msamaha watu wote ambao wakati wa uhai wake kiongozi huyo aliwakosea na ameondoka bila kuwaomba msamaha...
Rais Samia kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa William Lukuvi, Viwanja vya Karimjee, leo Machi 28, 2026. Hadi mauti yanamkuta Lukuvi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.