Sometimes huwa najiuliza, kwa nn Nature inafeli kufata mkondo wake. Unakutana na jimama au jidada lina mitikasi, identity na personality na kiume kabisa. Kuanzia roho, akili na kiasi cha ujeuri kiko juu sana yani aggresive sio poa.
Leo nimejidhatiti kulipandia boti kulifata hukohuko dar mana...