msd

MSD Capital is an American private investment firm that manages the capital of Michael Saul Dell and his family. The firm, which is based in New York and has offices in Santa Monica and West Palm Beach, was formed in 1998.In 2009, the principals of MSD Capital formed MSD Partners, an investment adviser registered with the U.S. Securities and Exchange Commission, to enable outside investors to invest in strategies that were developed by MSD Capital. Among other things, MSD Partners makes control equity and structured preferred investments through its MSD Private Capital Group.

View More On Wikipedia.org
  1. Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

    Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
  2. Mheshimiwa Rais, Serikali imeshindwa kuiwezesha MSD, msiwarushie mipira Wafawidhi

    Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa. Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...
  3. Vigogo wawili wa Bohari ya Dawa (MSD) kufikishwa Mahakamani leo

    Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurian Bwanakunu pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Lojistiki Byekwaso Tabura watafikishwa Mahakama ya Kisutu kujibu mashtaka yanayowakabili. Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema wanakabiliwa na mashtaka...
  4. B

    TAKUKURU yamnasa aliyekuwa Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa nchini (MSD), Laurean Bwanakunu

    June 2, 2020 Dar -es-Salaam, Tanzania TAKUKURU : TAARIFA KWA UMMA Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Inamshikilia aliyekuwa Bosi Mkuu wa Bohari ya Madawa Nchini (MSD) kisha kutumbuliwa Bw. Laurian Bwanakunu kwa tuhuma za rushwa na kuisababishia Serikali hasara. Pia Kaimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…