msajili wa vyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    Hakuna jinsi Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa ikafutwa?

    Hii Ofisi ikifutwa ni nini kitakosekana kwenye siasa za Tanzania? Naona kuwa na ofisi hii pamoja na waajiriwa wake ni ufujaji wa pesa za maskini walipa kodi wa nchi yetu.
  2. JanguKamaJangu

    Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama

    Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP) Dar es Salaam, Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
  3. DuaZaMama

    Mahakama yatoa kibali Msajili wa Vyama vya Siasa 'kushtakiwa'

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetoa kibali cha kufungua kesi ya msingi kwa walalamikaji Vyonheaven Exaud Urima na Andrew Fadhili Bomani katika shauri la kiraia Na. 8286/2025 waliofungua dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Katika...
  4. thegreat1510

    PostGE2025 John Heche: Mpango wa sasa wa ccm ni kutumia ofisi ya msajili kuifuta CHADEMA

    Anaandika John Heche "Chama chetu kimeshambuliwa pakubwa mno, viongozi na wanachama wetu kwa maelfu wametekwa, kuumizwa, kuwekwa mahabusu za polisi kwa mda mrefu bila sababu.. Wengine kina Mdude, Soka , Kipanya na wengine wengi hajulikani walipo Mpaka sasa. Chama chetu kimefungiwa kufanya kazi...
  5. funaku

    PostGE2025 Yaani chama kilichogomea Uchaguzi leo kinatamka hakimtambui Rais?

    Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi. Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama cha siasa? Mchekea mwana kulia hulia yeye!
  6. THE BIG SHOW

    Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

    Friends and Our Enemies, Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo. Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema...
  7. figganigga

    Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  8. Parabolic

    Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  9. E

    Mahakama Kuu yafuta amri za Msajili wa vyama vya Siasa kwa CHADEMA, hukumu nzima hii hapa

    Mahakama kuu Kanda ya Manyara imefuta amri ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya kuzuia ruzuku ya CHADEMA na kutowatambua Katibu Mkuu na maibu wake wawili na wajumbe wa Kamati Kuu waliothitishwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 baada ya uchaguzi wa ndani wa chana hicho. Hukumu hiyo imetolewa leo...
  10. McLaren

    GE2025 Rasmi, Mahakama yafuta amri ya Msajili wa vyama ya kuzuia ruzuku kwa CHADEMA na kutotambua viongozi

    Wakuu, Mahakama Kuu Kanda ya Manyara yafuta amri ya Msajili wa Vyama Vya Siasa ya kuzuia Ruzuku ya Chadema na kutowatambua Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe Watano wa Kamati Kuu waliothibitishwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama.
  11. Dr Akili

    Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  12. Informer

    Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

  13. DuaZaMama

    GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT

    MONALISA JOSEPH NDALA | 0657299225 | 0741299226 | ndalamonalisa50@gmail.com 26 Agosti 2025 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UAMUZI WA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSIANA NA MALALAMIKO YANGU DHIDI YA UTEUZI WA BW. LUHAGA JOELSON MPINA KAMA MGOMBEA URAIS WA ACT-WAZALENDO Mtukumbuke kuwa mimi Monalisa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa,awaketisha ACT na Monalisa uteuzi wa Mpina

    Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga...
  15. gstar

    GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

    Ndug. Davidilevi Nestory Kindikwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) KWIMBA, MWANZA Kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA Viwanja vya Nanenane Nzuguni S.L. P 2851 DODOMA. YAH: MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHETU CHA CCM KUKOSA SIFA Tafadhali rejea somo la hapo juu. Mimi ni mwanachama wa Chama cha...
  16. M

    GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CHADEMA yafungua shauri kupinga maamuzi ya msajili wa vyama kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama...
  18. M

    GE2025 Polepole acha maneno fanya vitendo. Kama mchakato wa mgombea Urais wa CCM umekosewa, peleka barua ya malalamiko kwa Msajili wa Vyama

    Bwana Polepole ulichoongea tumekusikia, Ila sisi Watanzania huwa tunasema kuwa maneno matupu hayavunji mfupa!. Tumeshaona precedent ya watu wasiokubaliana na mwenenendo wa mambo katika vyama vyao ambavyo wao wanaamini katiba za vyama vyao zikivunjwa wakiandika barua rasmi kwa msajili wa vyama...
  19. Just Pray

    GE2025 Msajili avitaka vyama vya siasa kuwasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
  20. Pascal Mayalla

    GE2025 JNICC: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Inatoa Mafunzo ya Sheria ya Gharama za Uchaguzi, Kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa JNICC ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, inatoa mafunzo ya Sheria mpya ya Gharama za Uchaguzi, kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vyote vya siasa nchini. https://www.youtube.com/live/joRKIIYROnk?si=1cVSWVZva0AACKkm Karibuni Paskali
Back
Top Bottom