mradi wa mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    TBT: Dakika 20 za Rais Magufuli kwenye uzinduzi wa mradi wa mwendokasi

    https://youtu.be/WbWMoTr_I-U?feature=shared
  2. chiembe

    DART inatarajia kupokea shehena ya mabasi 99 ya mwendokasi

    Samia hasubiri kuapishwa, tayari kaanza kutekeleza ilani, mpaka 2030 hii nchi itakuwa ulaya ndogo. Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), inatarajia kupokea shehena ya mabasi 99 ya mfumo wa mabasi yaendayo haraka (BRT) kutoka kwa mtengenezaji, kampuni ya Golden Dragon, kabla...
  3. mwanamwana

    PreGE2025 Mradi wa Mwendokasi kutumia mabasi ya Scania yanayotumia gesi

    Tanzania Yageukia Mabasi ya Gesi ya Scania kwa Usafiri wa Jiji Mabasi yanayotumia gesi kutoka Brazil sasa yataanza kusafirisha wakazi wa Dar es Salaam katika awamu mpya ya mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini. Mradi wa BRT ni sehemu muhimu ya juhudi za Tanzania kuboresha miundombinu...
  4. Roving Journalist

    Waziri Ulega: Wakandarasi Mwendokasi Awamu ya Nne (BRT 4) wamekuwa wazembe kupita kiasi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Ubungo Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
  5. T

    Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

    Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
  6. I

    Meneja BRT : Mradi wa Mwendokasi Mbagala-Gerezani umefikia 99%, kukamilika

    Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) Mhandisi Leonard Ngayungi amesema, kwa sasa kuna miradi mitatu ya BRT ambayo utekelezaji wake unaendelea huku ujenzi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Pili (BRT II) ukifikia asilimia 99 ambapo kwa sasa wako katika hatua ya mwisho ya...
  7. Sifi Leo

    Serikali inakopa magari ya Mwendokasi kumpa anayedaiwa anawaibia?

    Hivi nilimsikia vibaya yule aliye kuwa shirika la NYUMBA la taifa ndugu Nehemia msechu yakuwa Kuna wizi mkubwa na upotevu wa mamilioni ya fedha kwenye mradi wa usafirishaji wa abilia Udart? Je, nilimsikia vizuri alipo sema WAPO kwenye mazungumzo.na NMB ili iwakopeshe wanunue gari nyingine ...
Back
Top Bottom