Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Majisafi wa Sinya–Namanga unaotekelezwa eneo la Sinya, Longido mkoani Arusha.
Mradi huo unaotarajiwa kuongeza uzalishaji wa maji hadi lita 4,100,000 kwa siku, unatekelezwa na mkandarasi M/s. Zongii Contractors...