mpira wa bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    Nimefurahi sana heshima anayoendelea kupewa Alphonse Simbu na Serikali

    Alphonce Simbu amefungua ukurasa mpya wa celebrities katika Taifa letu. Kwa muda mrefu nilihuzunika kuona jamii ikishereheshwa na wanamuziki, wasanii wa filamu na komedi kiasi kwamba watoto wetu wakaanza kujifunza kuwa ukitaka ufanikiwe basi inabidi uwe kama Mwijaku au Baba levo au Kingwrndu...
  2. Think2

    Huu mpira wa bongo bana

    Yaani marefa wa leo nikituko tuwaache na kombe lao la ccm Hii ni clear offside kabisa
  3. S

    Mpira wa Bongo jau

    Mtu ametoka mkoani ametumia gharama ili akaishuhudie timu yake, Halafu mechi inahairishwa kitoto. Kweli Black race itabakia hivi hivi milele.
  4. Yoda

    Mpira wa bongo miyeyusho wakati mwingine, Kuna mtu anasemwa ni mlezi na mwanachama wa timu mbili tofauti za ligi moja!

    Naona inasemwa semwa kwenye mitandao kwamba mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda aliyeleta tafrani katika maandalizi ya Simba ni mlezi wa timu ya Pamba na mshabiki wa Yanga ambazo zote ziko ligi kuu ya Tanzania! Sasa zinapokutana hizi timu mbili za Pamba na Yanga anakuwa upande gani au anatakiwa...
  5. Allen Kilewella

    Watu wa Mpira Bongo jifunzeni Kifaransa. Mtaendelea kuaibika mpaka lini?

    Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima. Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa Mpira, waandishi wa habari na makocha wetu, lazima wajue pamoja na kuujua Mpira, lakini mafanikio ya...
Back
Top Bottom