Madikteta mara nyingi Huwa mafisadi vilevile. Hawa watu hupenda sana kuwapa watu rushwa ili kuwanyamazisha,Wengine hupewa rushwa kubwa
Wengine huambulia vitu vidogovidogo kama mtungi wa gesi,kanga,vitenge na Kofia hata bia Moja tu ni kulingana na mtu anavyojitambua,akiona wewe rushwa Hutaki...