mpenzi wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bar-maid

    Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢 Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi) Nishaurini jmn....😟😟
  2. L

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, ila LET HER GO

    Nimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
  3. JamiiForums Tanzania Yamenikuta leo, nimekosea kumwita jina mpenzi wangu!

    Naamini mko poa wajuba,,, issue iko hv,, mda si mrefu nilikuwa na mpenzi wangu tunapiga story za hapa na pale na nikiri tu kuwa huyu Demu nampenda kinoumah na siwezi maliza siku bila kuhitaji nikutane nae tupige stori. Sasa tumepiga story na story zikafika tamati, nikaamua nimsogelee kifuani...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wangu ataniua!

    Siku za nyuma niliandika kisa cha mapenzi na safari yangu ya kuanza maisha upya ndani ya mkoa mpya. Update: nilipo fika mkoa X mambo yangu kwakweli hayajaenda vizuri kama ilivyo kua matarajio yangu lakini napambana kwakua najua nilikotoka nimemuacha mpenzi wangu anaishi kwangu gettoni. Siku ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu haoneshi kumpenda Mtoto wangu

    Nimebahatika kuwa na mtoto na mwanamke niliyekua naye awali lakini hatukuweza kuendelea na mahusiano yale. Mtoto anasoma madarasa ya chini na nmemchukua kukaa naye na kwa sasa nina mwanamke tuna mwaka mmoja pamoja na ambaye tuna matarajio ya kusogea hatua za mbali ikiwemo kufunga ndoa...
  6. JamiiForums Tanzania Harmonize: Zuuh ni mpenzi wangu wa kwanza

    Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra. Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo kwenye albamu yake ya pili 'High School' hivi majuzi, mwanamuziki huyo alifichua kwamba kuzaliwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania A crazy story na mpenzi wangu wa Chuo

    Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache. Ni mrembo haswa na ana self...
  8. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia nisimchunge kwa kuwa bado sijamuoa

    Hivi ukiwa na mpenzi unakuta mmepanga mambo mengi saana lakini unaona mwenza wako! Kama haelekei hivi umepanga kumuoa, unamchunga ili mabaharia wasje vuta waya yeye hapndezew kuchungwa anasma yeye akiwa bado hajaolewa ni wa wotee kwahyo niache kumchunga kam nikiona hahatulia ni ruksa...
  9. JamiiForums Tanzania Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

    chocolate
  10. JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mpenzi wangu, nifanye nini niimudu hali hii?

    Habari wana JF Hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpigia mpenzi wangu simu! Ambaye tulipendana saaana, siku za nyuma hapo tulikosana lakini tukapatana tena maisha yakasonga leo hii nimempigia simu ananijibu majibu ya mkato sana. Nikituma sms anajibu kwa mikato nikimuulza shida...
  11. JamiiForums Tanzania Rafiki wa mpenzi wangu wa zamani ananitaka

    Hii ni wiki Sasa jaman nimekuwa nikipokea txt za I miss you , uko wap sikuhiz , njoo kwangu Hizo zote nimeogopa kujibu kwasababu nimehisi ananitaka kimapenzi na mengine naona Hata haibu kuandika humu, lakini naomba ushauri je nipite nae jaman au nifanyeje?
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

    Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa.. Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?
  13. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki kuniruhusu niende nje ya Mkoa kiutafutaji

    Heshima zenu wadau wa jukwaa hili. Juzi niliandika thread iliyo kwenda na title ya uliwezaje kuachana na mpenzi wako uliye mpenda baada ya kutoa kisa Changu na kusikiliza maoni ya wadau kupitia comment. Shida yangu ni moja guys, Kuna mishe nataka kwenda kupiga mkoa tofauti na niliopo na kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana uke mkubwa ila bado nampenda

    Nimemkuta huyu mpenzi wangu akiwa na mtoto mmoja na sasa ni kipindi cha miaka saba sasa. Cha ajabu tulitumia miaka mitatu tulikuwa tunafanya kila kitu lakini aligoma kabisa kusex na mimi. Tulikuwa tunaenda chumbani au tunakaa kwenye gari tunafanya kila kitu ila ukimwambia msex hataki kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kagoma kuhamia imani yangu ili tufunge ndoa

    Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.
  16. JamiiForums Tanzania Kwako mpenzi wangu

    Sikuwahi kupenda hivi kama ninavyokupenda wewe. Hisia zangu juu yako hazipimiki Kama usivyoweza kuupima ulimwengu!,umekuwa ukitikisa hisia zangu pindi nisikiapo sauti yako tamu. Hakika nimepata mpenzi nakuahidi kukutunza na kukuimbia utenzi. Tabasamu lako hunimulika na kuuona uzuri wako!,si tu...
  17. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

    Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake. Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia...
  18. JamiiForums Tanzania Nimemkuta mpenzi wangu yupo na mpenzi wake wa zamani

    Story inaanza ilikua jana jmos, nilipanga kutoka na mpenzi wangu ambae toka tujuane ni wiki sasa. Alinambia ana mpenzi ila ana kama miezi kadhaa hawajaonana na akanihakikishia ataachana nae ndan ya wiki inayoanza. Cha kusikitisha, jana asubuhi namptia ili twende nyumbani nimtafune kwanza alafu...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana tabia ya uongo

    Habari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili, Nahtaji ushauri, nimekuwa na mpenzi wangu ambaye mara nyingi anakuwa muongo sana hataki kuweka mambo yake wazi, japo sio sana. Sasa hili ndio babu kubwa, kuna siku amepata safari walisafiri na dada yake. Siku hiyo alioamba nauli tulikwazana...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu haelewani na ndugu zake. Nimsaidiaje?

    Kunae demu nimejuana naye kwa miezi 6 sasa, kiufupi ni Mwanamke wangu na mahusiano yetu yanaenda poa kabisa. Yeye ni mtu wa Arusha but anaishi Dar kwa ndugu zake, Majuzi kati kulitokea kutokuelewana yeye na ndugu zake hali inayomfanya asiishi kwa amani. Binafsi sitaki kuingilia ugomvi wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…