mpenzi wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Siku mpenzi wangu aliponiambia nyumba ile kuna binti anakupenda sana,lakini ilikuwa na mabinti wengi sikumjua ni yupi

    Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia Basi kuna nyumba moja ilikuwa na mabinti warembo wengi tulikuwa tunatizamana yaani ilikuwa n'gambo ya pili si unajua...
  2. Money Penny

    Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  3. Isenye

    Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

    Mko poa walimwengu? Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani Baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake, alikua...
  4. Equation x

    Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  5. D

    Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

    Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha, Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu)., Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
  6. Leonce jr

    Mpenzi wangu hataki tena baada ya round ya pili kuingia ya tatu anadai anaumia.

    Hallo. Aah wana jukwaa baada ya celibacy ya muda wa miezi 9 bila sex. Toka December mpaka mosi August juzi amekuja mpenzi wangu wa muda since 2014. Nimeshindwa kukaza kumwambia nipo celibacy. Basi nikala vyangu round mbili baada ya mapunziko kiasi tupo kitandani jogoo kama kawa mpenz wangu...
  7. MamaSamia2025

    Tayari huyu mpenzi wangu kaniahidi kunizalia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM mwaka 2027

    Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
  8. Smooth Criminal

    mpenzi wangu kaolewa, nina kosa lolote hapa?

    Nimekuja direct kwenu wana jf kuna story yangu nataka kushare nanyi, iko hivi; Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilipata mpenzi tumwite (Grace) siyo jina halisi. Grace alikuwa mwaka wa pili, katika uhusiano wetu nikiwa mwaka wa pili, nikagundua kaanza mahusiano na mtu mwingine tumwite Juma...
  9. Magical power

    Nisaidie Kumchallenge mpenzi wangu tuna mwaka kwenye mahusiano yetu, ataje mwanamke anayempenda

    JICHO; Habari yako magical power, nisaidie kumchallenge mpenzi wangu tuna mwaka kwenye mahusiano yetu, ataje mwanamke anayempenda. Magical power; Kwani una wasiwasi nae? JICHO; Hii miezi minne simuelewi kabisa, yani mawasiliano ya kutosha hakuna, ananitafuta akijisikia. Magical power; Pole...
  10. Mbepo yamba

    Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

    Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri. Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa...
  11. P

    Sitaki ushauri, namuomba radhi mpenzi wangu

    Wakuu kwa sasa naona napoteza na sitaki ushauri. Mpenzi wangu ameniblock everywhere sijui nampataje. Nimemtumia email hajibu kitu kwa hiyo niko hovyo sana. Tayari nimespend some milion TZS ili kujiweka sawa ila bado namkumbuka mama yenu aisee. She was my manager, nikitumia hela hovyo...
  12. The Whistleblower

    Suluhisho la nguvu za Kiume

    Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume. Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume. Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa...
  13. MamaSamia2025

    Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana

    Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga. Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake...
  14. Mr Beach Boy

    Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  15. J

    Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  16. haszu

    Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

    Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa. Sometimes she forget that...
  17. Isenye

    Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

    Poleni na mihangaiko wakuu. Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa. Hivi hii ina maanisha nini?
  18. ashomile

    Ushauri Wenu Unahitajika : Kuna Mpenzi wangu anatuchanganya mimi na jamaa yangu

    Habarini za usiku ndugu zanguni ? Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake...
  19. T

    Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

    Nina msichana niko kwenye uhusiano nae yapata mwaka wa8 sasa, lakini kwenye maisha ya uhusiano kamili ni miaka6, wa 7 na wa8 imeikuwa ni miaka ambayo changamoto,misukosuko,kugombana na kufikia hatua ya kuvunja kwa uhusiano. Shida ilianzia pale ambapo ameniona mm siendi kumchumbia kwao hpo ndo...
  20. Davidmmarista

    Je, Nimwinde Wapi Mpenzi Wangu? Mwisho wa Kutembeza CV Barabarani!

    Wadau wa Jamiiforums, Habari Zenu? Natumai mpo fresh na maisha hayajakubana sana kama viatu vya ndugu yangu Juma vilivyojaa viraka. Leo nimekuja na kero kubwa inayowasumbua wengi, hasa mabachelor wa mtaani kutafuta mpenzi! Yaani, kila siku unakutana na dada mmoja barabarani, unajifanya kama...
Back
Top Bottom