moto mkubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Dar Es Salaam: Moto mkubwa wawaka maeneo ya Keko usiku huu

    Moto mkubwa umewaka maeneo ya Keko muda huu na tayari umeleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo. Vikosi vya zimamoto bado havijaonekana hadi sasa ili kufanya jitihada za kuudhibiti. Chanzo cha moto bado hakijajulikana
  2. Mkalukungone Mwamba

    Moto mkubwa wateketeza maduka eneo la Mnara wa Voda Shinyanga

    Moto mkubwa ambao bado haujajulikana chanzo chake unateketeza maduka yaliyopo eneo maarufu kama Mnara wa Voda, Shinyanga. Zoezi la kuuzima moto huu ulioanza majira ya saa mbili usiku kwa mujibu wa mashuhuda, linaendelea kufanyika na jeshi la zimamoto huku mali zikiendelea kuokolewa.
  3. Echolima1

    Watu 3 wafariki na wengine 2 walazwa hospitalini baada ya moto mkubwa kuwaka katika kituo cha kuhifadhi methanoli huko nchini Iran

    Takriban watu watatu wamefariki na wengine wawili kulazwa hospitalini baada ya mlipuko na moto kutokea kwenye kiwanda cha kemikali nchini Iran Ajali hiyo ilitokea majira ya saa 5 asubuhi kwa saa za Iran (07:30 GMT) katika sehemu ya kuhifadhi methanoli kwenye Kiwanda cha Kaveh Petrochemical...
  4. gallow bird

    Moto mkubwa wazuka Israel

    Moto mkubwa umezuka israel kiasi cha watumiaji wa vyombo vya moto kutelekeza vyombo vyao barabarani Inadaiwa ni kutokana na halo mbaya ya hewa,lakini usiku wa kuamkia leo houthi walifanya mashambulizi na wazayuni wananukuliwa kusikia mishindo mikubwa ya mabomu Israel panawaka kama bandari ya...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Morogoro: Moto mkubwa wateketeza Vibanda zaidi ya 10 vya wafanyabiashara wa furniture na baadhi za nyumba zilizopo jirani

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Morogoro limedhibiti moto mkubwa uliozuka katika mtaa wa Ngoto Manispaa ya Morogoro na kuteketeza vibanda zaidi ya 10 vya wafanyabiashara wa samani za ndani na baadhi ya nyumba zilizopo jirani na eneo hilo. Moto huo ulizuka majira ya saa mbili usiku Machi 21...
  6. Analog

    Carlos vela mchezaji wa zamani wa Arsenal apoteza jumba lake lenye thamani ya bilion 3.3 kwa moto huko U.SA

    Mchezaji wa zamani wa Arsenal Carlos Vela amepoteza nyumba yake ya kifahari ya Malibu katika eneo la Moto wa maangamizi wa Los Angeles Angalau miundo 5,000 imeharibiwa katika kile kinachotarajiwa kuwa moto wa maangamizi makubwa zaidi katika historia ya Marekani Ben Affleck, Paris Hilton na...
Back
Top Bottom