Huko mkoani Kilimanjaro hali ya hewa imeanza kuchafuka mapemaa baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kuvamia nyumbani kwa mgombea wa kiti cha ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya chama cha CHAUMA,Michael Kilawila na kuharibu gari la mke wake kwa kupasua kioo cha nyuma.
Tukio hilo...
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau kupitia tiketi ya CCM amesaidia kuwasaidia wananchi ambao hawapati pesa za Tasaf na badala yake wanapewa wasiostahili.
Chanzo: Kikeke Digital
Pia soma
~ Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira...
Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa.
Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi...
Wananchi katika mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi, jimbo la Moshi Vijijini wamekataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake kikamilifu. Akizungumza na wananchi amesema kuwa barabara hiyo haikuwepo kwenye mpango wa lami wa serikali, na baada ya diwani kuleta andiko na...
UJUMBE:
Wana-Moshi Vijijini,
Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi wa kisasa usioegemea siasa za maneno matupu.
Moja ya majina makubwa yanayosisimua mioyo ya vijana...
Huyu mtu, ni mgombea hewa,kwani hajui kiongozi hata mmoja ndani ya Jimbo aliloomba kutia nia,ila ameteuliwa.
Kuanzia shina,tawi, Kata na hata Jimbo,hafahamu mtu hata mmoja na hatujui kura atazipsta kutoka wapi.
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho.
Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
Mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara na watoa huduma Tanzania, Martin Massawe, amechukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi, kugombea ubunge Jimbo la Moshi vijijini
Massawe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, amechukua fomu hiyo Julai 2, 2025 ambapo...
Mwandishi wa habari mkongwe na mtangazaji Salim Kikeke amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa...
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ametaka kujua lini Serikali itatunga Sheria itakayomshurutisha mtoto kuwatunza Wazazi wake wakizeeka ambapo amejibu Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis.
Wakati CCM kupitia viongozi wake wakuu wanakemea kampeni za mapema na viongozi kubeba wagombea/watia nia hali huko wilaya ya Moshi Vijijini ni tofauti.
Mwenezi wa CCM wilaya hiyo aitwaye Huseni Abduli eikei mwenyekiti anayeishi mji wa Himo amekuwa kinara wa kubeba wasaka ubunge wakiwemo Nicolas...
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi kwa misingi ya kikanda.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Wananchi hao wa Kiboriloni wamesikika wakilalamika miundombinu ya barabara kuwa ni mibovu sana na mbunge wao hawajamuona tokea atoe ahadi ya kushughulikia barabara hiyo.
Wameongeza kuwa hawatasumbuka tena kupiga kura kwani hakuna inachowasaidia
Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa
Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900,
Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
Naandika Tatizo hili nikilia maana ni mwaka na zaidi sasa wazazi wangu wanateseka na maji. Ukiangalia tupo karibu ya vyanzo vya maji alafu watu wachache wanafaidi sisi wa hali ya chini tunateseka.
Mwaka jana walifanya kuweka mfumo mpya wa bomba za plastiki mitaani wakasema wakikamilisha wote...
Anonymous
Thread
kijiji cha uuwo
moshivijijini
tatizo la maji
uhaba wa maji uuwo
ukosefu wa huduma za maji
Nina wiki moja nimekuja Moshi, nimetembela baadhi ya sehemu za Wilaya ya Moshi Vijijini, Shabaha, Kata ya Mabogoni.
Wananchi wa Shabaha wanateseka sana na barabara iwe kipindi cha mvua au kiangazi kipande cha barabara mwisho wa Kituo cha Bajaji Shabaha.
Kuna barabara inaitwa Manguzoni kuelekea...